Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2018
Abstract
Mwaka 20 18, Serikali kupitia Ofisi ya Tai fa ya Takwimu ilifanya maboreshoya tak,vimu za Pato la Taifa kwa kutun1ia mwaka 20 15 kama mwaka wa kiziokutoka mwaka wa kizio wa 20.07. Kufuatia maboresho hayo, mabadiliko kadhaayalijitokeza ikiwemo mfu1no na ukubwa wa Pato la Taifa; viwango vya ukuajina 1nchango wa sekta mbali1nbali katika Pato la Taifa; na uwiano v.1a viashiria1nbalimbali kwa Pato la Taifa. Maelezo ya kina kuhusu maboresho hayo yako .katika sura ya kurni
Collections
- The Economic Survey [29]