Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2016
Abstract
Mwaka 20 I 6, Pato Ia Taifa I i likua kwa wastan i wa as il imia 7.0, sawa nai l ivyokuwa 1nwaka 20 1 5 . Ukuaji huu wa uchu1ni u l itokana na: kuongezeka kwaufuaj i wa u111eme hususan utokanao na gesi asilia; kLtongezeka kwa uzalishaj iviwandani; kui111arika kwa huduma za usafirishaj i; na kuongezeka kwa uandikishaj i wa wanafunzi kufuatia kuanza kwa sera ya Serikali ya kutoa elimu msingi bure il iyoanza Januari 20 I 6. Katika kipindi hicho, shughuli za uchumizil izokua kwa viwango vikubwa ni pa1noja na: ujenzi asilimia 1 3 .0; habari na mawasil iano (asilimia l 3.0); usafirishaj i na uhifadhi mizigo (asilimia 1 1 .8 ); na
uchimbaj i madini na mawe (asilimia I 1 .5).
Collections
- The Economic Survey [29]