Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2013
Abstract
Mwaka 2013, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilimia 7.0ikilinganishwa na ukuaj i wa asilimia 6.9 mwaka 20 12. Ukuaj i huu ulitokana nakuimarika kwa sekta zinazochangia Pato la Taifa kwa kiasi kikubwa hususansekta za kilimo, uj enzi na biashara.
Ukuaj i wa viwango vya juu ulijionesha katika shughuli ndogo za kiuchutni za: mawasiliano (asilimia 22.8); fedha(asilimia 12.2); uj enzi (asilimia 8.6); na biashara (asilimia 8.3).
Collections
- The Economic Survey [29]