The Citizens’ Budget for the year 2020-2021
Loading...
Date
2020
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Ministry of Finance and Planning
Abstract
Bajeti ya Serikali Toleo la Wananchi ni Kijitabu kinachoelezea mipango na bajeti ya
Serikali kwa muhtasari na lugha rahisi inayoweza kueleweka kwa Mwananchi wa
kawaida na wadau mbalimbali. Kijitabu hiki kinamsaidia mwananchi kuielewa na
kuifahamu bajeti ya Serikali kwa mwaka husika na jinsi bajeti inavyogusa maisha ya
wananchi kwa njia mbalimbali. Kijitabu hiki kinatoa fursa kwa wananchi kushiriki
kikamilifu katika kutoa maamuzi wakati wa mchakato wa kuandaa Mipango na Bajeti
ya Serikali na hivyo kuhamasisha dhana ya uwazi na uwajibikaji katika kusimamia
fedha za umma.
Description
Keywords
The Citizens’ Budget