Show simple item record

dc.contributor.authorJamhuri ya Muungano wa Tanzania
dc.date.accessioned2023-07-24T10:07:17Z
dc.date.available2023-07-24T10:07:17Z
dc.date.issued2022
dc.identifier.urihttps://repository.mof.go.tz/handle/123456789/565
dc.description.abstractSerikali inaendelea na utekelezaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26 wenye dhima ya Kujenga Uchumi Shindani na Viwanda kwa Maendeleo ya Watu. Mpango huo ni mwendelezo wa utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 inayotekelezwa kupitia Mpango Elekezi wa Muda Mrefu, 2011/12 – 2025/26. Mpango Elekezi umegawanyika katika vipindi vitatu vya miaka mitano mitano. Kwa muktadha huo, Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2023/24 ni ya tatu katika utekelezaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26.en_US
dc.publisherWizara ya Fedha na Mipangoen_US
dc.subjectMpango wa Maendeleoen_US
dc.subjectMaendeleo ya Taifaen_US
dc.subjectHali ya Uchumien_US
dc.subjectUwekezajien_US
dc.subjectPato la Taifaen_US
dc.subjectDeni la Taifaen_US
dc.titleMapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2023 -2024en_US
dc.typeBooken_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record