Show simple item record

dc.contributor.authorJamhuri ya Muungano wa Tanzania
dc.date.accessioned2023-06-17T12:41:18Z
dc.date.available2023-06-17T12:41:18Z
dc.date.issued2014
dc.identifier.urihttps://repository.mof.go.tz/handle/123456789/518
dc.description.abstractMpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2014/15 ni wa tatu katika mfululizo wa mipango ya kila mwaka ya kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12-2015/16) ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025. Hivyo, mpango huu unajikita katika kuendelea kuzingatia vipaumbele vya Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano vifuatavyo: (i) Miundombinu ya nishati, usafirishaji, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), maji safi na maji taka na umwagiliaji; (ii) Kilimo ikijumuisha mazao ya chakula na biashara, malighafi ya viwandani, ufugaji, uvuvi na misitu; (iii) Viwanda vinavyotumia malighafi hususan za ndani na kuongeza thamani, viwanda vikubwa vya mbolea na saruji, viwanda vya kanda maalum za kiuchumi, kielektroniki na TEHAMA; (iv) Maendeleo ya rasilimali watu na ujuzi kwa kutilia mkazo sayansi, teknolojia na ubunifu na kuimarisha mafanikio ya upatikanaji wa huduma za jamii; na (v) Uendelezaji wa huduma za utalii, biashara na fedha.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherOfisi ya Rais, Tume ya Mipangoen_US
dc.subjectMpango wa Maendeleoen_US
dc.subjectMpangoen_US
dc.subjectUchumien_US
dc.titleMpango Wa Maendeleo Wa Taifa 2014 - 2015en_US
dc.typeArticleen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record