Show simple item record

dc.contributor.authorJamhuri ya Muungano wa Tanzania
dc.date.accessioned2023-05-23T16:13:32Z
dc.date.available2023-05-23T16:13:32Z
dc.date.issued2021
dc.identifier.urihttps://repository.mof.go.tz/handle/123456789/429
dc.description.abstractDira ya Taifa ya Maendeleo 2025 ambayo ni nyenzo ya kuunganisha juhudi za Taifa katika kufikia malengo ya maendeleo yanayotarajiwa ya kijamii na kiuchumi ilizinduliwa mwaka 1999. Uzinduzi huo ulifuatiwa na hatua za maboresho mbalimbali ya kisera, kitaasisi na kimfumo katika miaka ya 2000. Maboresho haya yalikuwa muhimu kutokana na hali ya kiuchumi ambayo Tanzania ilipitia katika miaka ya 1980 na 1990. Katika kipindi hicho, nchi ilikabiliwa na kiwango kidogo cha ukuaji wa uchumi, uhaba mkubwa wa bidhaa na huduma muhimu,mfumuko mkubwa wa bei, madeni makubwa na yasiyohimilika, na makusanyo madogo yamapato ya Serikali. Katika kukabiliana na hali hiyo, Serikali ilichukua hatua kadhaa za maboresho ya kiuchumi kabla ya kuzindua Dira ya Maendeleo ya Taifa na mpango uliungwa mkono na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) uliojulikana kama programu ya maboresho ya mfumo wa uchumi (The Enhanced Structural Adjustment Facility - ESAF).en_US
dc.publisherWizara ya Fedha na Mipangoen_US
dc.subjectUchumien_US
dc.subjectMpangoen_US
dc.subjectMpango wa Maendeleoen_US
dc.subjectHali ya Uchumien_US
dc.subjectUchumi wa Taifaen_US
dc.titleMapendekezo ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/2026en_US
dc.typeBooken_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record