Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2013 - 2014
dc.contributor.author | Jamhuri ya Muungano wa Tanzania | |
dc.date.accessioned | 2023-05-23T11:59:18Z | |
dc.date.available | 2023-05-23T11:59:18Z | |
dc.date.issued | 2013 | |
dc.identifier.uri | https://repository.mof.go.tz/handle/123456789/418 | |
dc.description.abstract | Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2013/14 ni ya pili katika mfululizo wa mipango ya kila mwaka ya kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12-2015/16) ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025. Hivyo, mapendekezo hayo yanajikita katika kuendelea kuzingatia vipaumbele vya Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano vifuatavyo: (i) Miundombinu ya nishati, usafirishaji, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), maji safi na maji taka na umwagiliaji; (ii) Kilimo ikijumuisha mazao ya chakula na biashara, malighafi ya viwandani, ufugaji, uvuvi na misitu; (iii) Viwanda vinavyotumia malighafi hususan za ndani na kuongeza thamani, viwanda vikubwa vya mbolea na saruji, viwanda vya kanda maalum za kiuchumi, kielektroniki na TEHAMA; (iv) Maendeleo ya rasilimali watu na ujuzi kwa kutilia mkazo sayansi, teknolojia na ubunifu na kuimarisha mafanikio ya upatikanaji wa huduma za jamii; na (v) Uendelezaji wa huduma za utalii, biashara na fedha. | en_US |
dc.publisher | Wizara ya Fedha na Mipango | en_US |
dc.subject | Mpango | en_US |
dc.subject | Uchumi | en_US |
dc.subject | Mpango wa Maendeleo | en_US |
dc.subject | Hali ya Uchumi | en_US |
dc.title | Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2013 - 2014 | en_US |
dc.type | Book | en_US |