Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2013 - 2014

dc.contributor.authorJamhuri ya Muungano wa Tanzania
dc.date.accessioned2023-05-23T11:59:18Z
dc.date.available2023-05-23T11:59:18Z
dc.date.issued2013
dc.description.abstractMapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2013/14 ni ya pili katika mfululizo wa mipango ya kila mwaka ya kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12-2015/16) ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025. Hivyo, mapendekezo hayo yanajikita katika kuendelea kuzingatia vipaumbele vya Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano vifuatavyo: (i) Miundombinu ya nishati, usafirishaji, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), maji safi na maji taka na umwagiliaji; (ii) Kilimo ikijumuisha mazao ya chakula na biashara, malighafi ya viwandani, ufugaji, uvuvi na misitu; (iii) Viwanda vinavyotumia malighafi hususan za ndani na kuongeza thamani, viwanda vikubwa vya mbolea na saruji, viwanda vya kanda maalum za kiuchumi, kielektroniki na TEHAMA; (iv) Maendeleo ya rasilimali watu na ujuzi kwa kutilia mkazo sayansi, teknolojia na ubunifu na kuimarisha mafanikio ya upatikanaji wa huduma za jamii; na (v) Uendelezaji wa huduma za utalii, biashara na fedha.en_US
dc.identifier.urihttps://repository.mof.go.tz/handle/123456789/418
dc.publisherWizara ya Fedha na Mipangoen_US
dc.subjectMpangoen_US
dc.subjectUchumien_US
dc.subjectMpango wa Maendeleoen_US
dc.subjectHali ya Uchumien_US
dc.titleMapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2013 - 2014en_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2013 - 2014.pdf
Size:
1.07 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Swahili - Text

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: