Show simple item record

dc.contributor.authorJamhuri ya Muungano wa Tanzania
dc.date.accessioned2023-05-23T11:44:08Z
dc.date.available2023-05-23T11:44:08Z
dc.date.issued2021
dc.identifier.urihttps://repository.mof.go.tz/handle/123456789/416
dc.description.abstractMpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2021/22 umeandaliwa kwa mujibu wa Ibara ya 63 (3) (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Sheria ya Bajeti, Sura 439. Mpango huu umeandaliwa kwa lengo la kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, ambayo ni kuiwezesha Tanzania kuwa nchi yenye hadhi ya uchumi wa kipato cha kati ikiwa na sifa zifuatazo: maisha bora na mazuri; amani, utulivu na umoja; utawala na uongozi bora; jamii iliyoelimika na inayopenda kujifunza zaidi; na uchumi wenye uwezo wa kuhimili ushindani na kujiletea ukuaji wa kudumu kwa maslahi ya watu wote.en_US
dc.publisherWizara ya Fedha na Uchumien_US
dc.subjectUchumien_US
dc.subjectMpangoen_US
dc.subjectMpango wa Maendeleoen_US
dc.subjectHali ya Uchumien_US
dc.subjectMipango ya Taifaen_US
dc.titleMapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2022/23en_US
dc.typeBooken_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record