Show simple item record

dc.contributor.authorJamhuri ya Muungano wa Tanzania
dc.date.accessioned2023-05-22T14:34:19Z
dc.date.available2023-05-22T14:34:19Z
dc.date.issued2021
dc.identifier.urihttps://repository.mof.go.tz/handle/123456789/394
dc.description.abstractMwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23 umeandaliwa kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kanuni zake za mwaka 2015. Uandaaji wa Mwongozo huu umefanyika kwa kurejea nyaraka za kitaifa ikiwemo Sera na Mipango, Sheria, Miongozo na Waraka mbalimbali za Serikali pamoja na makubaliano ya kikanda na kimataifa yaliyoridhiwa na Tanzania. Baadhi ya nyaraka zilizorejewa ni pamoja na: Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025; Mpango wa Maendeleo wa Taifa (2021/22–2025/26); Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020; Mpango Kazi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara; Mpango Mkuu wa Maendeleo ya Sekta ya Fedha (2020/21 -2029/30); Sheria ya Bajeti, Sura 439; Sheria ya Madeni, Dhamana na Misaada, Sura 134; Sheria ya Fedha za Umma, Sura 348; Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410; Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa Awamu ya Tatu; Mwongozo wa Ushirikiano wa Maendeleo; Agenda ya Afrika Mashariki 2050; Agenda ya Afrika 2063; na Malengo ya Maendeleo Endelevu 2030.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherWizara ya Fedha na Mipangoen_US
dc.titleMwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022-23en_US
dc.typeBooken_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record