Hotuba ya Bajeti kuu ya Serikali ya Makadilio ya Mapato na Matumizi ya Mwaka 2006-2007
dc.contributor.author | Jamhuri ya Muungano wa Tanzania | |
dc.date.accessioned | 2023-01-31T15:22:30Z | |
dc.date.available | 2023-01-31T15:22:30Z | |
dc.date.issued | 2006-06 | |
dc.identifier.uri | https://repository.mof.go.tz/handle/123456789/236 | |
dc.description.abstract | Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge likubali kujadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2006/2007. Pamoja na hotuba hii, vimetayarishwa vitabu vinne vinanyoelezea kwa kina takwimu za bajeti. Kitabu cha kwanza kinahusu makasio ya mapato, kitabu cha pili na cha tatu vina makisio ya matumizi ya kawaida kwa Wizara, Idara zinazojitegemea, Mikoa na Halmashauri za Miji na Wilaya. Kitabu cha Nne kinaelezea makadirio ya matumizi ya maendeleo kwa Wizara, Idara na Mikoa pamoja na Halmashauri. Aidha, upo Muswada wa sheria ya Fedha na mwaka 2006/2007 ambao ni sehemmu ya bajeti hii. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Wizara ya Fedha na Mipango | en_US |
dc.subject | Bajeti | en_US |
dc.title | Hotuba ya Bajeti kuu ya Serikali ya Makadilio ya Mapato na Matumizi ya Mwaka 2006-2007 | en_US |
dc.type | Book | en_US |