Hotuba ya Bajeti kuu ya Serikali ya Makadilio ya Mapato na Matumizi ya Mwaka 2006-2007

dc.contributor.authorJamhuri ya Muungano wa Tanzania
dc.date.accessioned2023-01-31T15:22:30Z
dc.date.available2023-01-31T15:22:30Z
dc.date.issued2006-06
dc.description.abstractMheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge likubali kujadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2006/2007. Pamoja na hotuba hii, vimetayarishwa vitabu vinne vinanyoelezea kwa kina takwimu za bajeti. Kitabu cha kwanza kinahusu makasio ya mapato, kitabu cha pili na cha tatu vina makisio ya matumizi ya kawaida kwa Wizara, Idara zinazojitegemea, Mikoa na Halmashauri za Miji na Wilaya. Kitabu cha Nne kinaelezea makadirio ya matumizi ya maendeleo kwa Wizara, Idara na Mikoa pamoja na Halmashauri. Aidha, upo Muswada wa sheria ya Fedha na mwaka 2006/2007 ambao ni sehemmu ya bajeti hii.en_US
dc.identifier.urihttps://repository.mof.go.tz/handle/123456789/236
dc.language.isootheren_US
dc.publisherWizara ya Fedha na Mipangoen_US
dc.subjectBajetien_US
dc.titleHotuba ya Bajeti kuu ya Serikali ya Makadilio ya Mapato na Matumizi ya Mwaka 2006-2007en_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2006 - 2007.pdf
Size:
189.04 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Swahili-Fulltext

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: