Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2017-2018.
Loading...
Date
2017-06
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wizara ya Fedha na Mipango
Abstract
Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako tukufu lipokee, lijadili na kupitisha makadilio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka 2017/18. Bajeti hii inawakilishwa kwa kuzingatia matakwa ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Ibada ya 137 ikisomwa pamoja na sheria ya Bajeti namba 11 ya mwaka 2015 kifungu cha 26.
Description
Keywords
Bajeti