Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2020 - 2021

Loading...
Thumbnail Image

Date

2020-06

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Wizara ya Fedha na Mipango

Abstract

Mheshimiwa Spika, kutokana na taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, iliyochambua bajeti za mafungu ya Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa mwaka 2020/21, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu sasa lipokee na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka 2019/20 na kuidhinisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya mafungu saba (7) ya Wizara pamoja na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa mwaka 2020/21.

Description

Keywords

Bajeti

Citation

Collections