MoF Budget: Recent submissions
Now showing items 1-20 of 21
-
Hotuba ya Waziri wa Fedha Mh.C.D.Msuya (Mb) akiwasilisha makadirio ya matumizi ya Wizara kwa mwaka 1985-86
(Wizara ya Fedha, 1985-06) -
Hotuba ya Waziri wa Fedha Mh. Daniel N.Yona (Mb) akiwasilisha makadirio ya matumizi ya Wizara kwa mwaka 1999-2000
(Wizara ya Fedha, 1999-06) -
Hotuba ya Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Katika Wizara ya Fedha na Mipango,2019-20
(Wizara ya Fedha, 2018-11) -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2023 - 2024
(Ministry of Finance and Planning, 2023-06-08)Mheshimiwa Spika, baada ya kupokea taarifa iliyowasilishwa mbele ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Daniel Baran Sillo – Mbunge wa Babati Vijijini, naomba kutoa hoja kwamba, ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2010-2011.
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2010-06)Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Fedha na Uchumi, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu likubali kupokea, kujadili na kupitisha Makadirio ya Mapato, ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2014- 2015
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2014-06)Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kupokea, kujadili na kupitisha ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2015 - 2016
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2015-06)Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu sasa likubali kupokea, kujadili na ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2016 - 2017
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2016-06)Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu sasa likubali kupokea, kujadili na kupitisha Makadirio ya ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2017-2018.
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2017-06)Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako tukufu lipokee, lijadili na kupitisha makadilio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka 2017/18. Bajeti hii inawakilishwa kwa kuzingatia matakwa ya katiba ya Jamhuri ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2018-2019
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2018-06)Mheshimiwa Spika, kutokana na taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa Hoja kwamba, Bunge lako sasa lipokee na kujadili mapitio ya utekelezaji ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2020 - 2021
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2020-06)Mheshimiwa Spika, kutokana na taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, iliyochambua bajeti za mafungu ya Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na Ofisi ya Taifa ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2021 - 2022
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2021-06)Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu lipokee na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa ...