Show simple item record

dc.contributor.authorTanzania, United Republic
dc.date.accessioned2022-10-21T11:54:36Z
dc.date.available2022-10-21T11:54:36Z
dc.date.issued2017
dc.identifier.urihttp://repository.mof.go.tz/handle/123456789/145
dc.description.abstractMwanzoni mwa mwaka 2016, Serikali ilizindua FYDP II, kwa lengo la kurekebisha mapungufu ya FYDP I na kutoa mpango makini wakati Tanzania inapoanza kuelekea katika maendeleo ya viwanda katika miaka mitano ijayo (2016 – 2021). Katika kufanya marejeo ya FYDP I, serikali ilitambua kuwa mpango wa awali ulishindwa kufanikisha malengo yake mengi. Wakati Serikali imedhamiria kuwa ukuzaji wa viwanda ni kipaumbele katika miaka mitano ijayo, mapungufu ndani ya mpango unaweza kufanya nchi ishindwe kwa mara nyingine tena kama masuala yaliyojitokeza hayajafanyiwa kazi vya kutosha.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherMinistry of Finance and Planningen_US
dc.subjectDevelopment Planen_US
dc.titleMpango wa Pili wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano (FYDP II): Ni kwa Jinsi gani Tutaboresha Utekelezaji katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa?en_US
dc.typeBooken_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record