Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali 2008 - 2009

Loading...
Thumbnail Image

Date

2008

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Wizara ya Fedha na Mipango

Abstract

Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kujadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2008/09. Pamoja na hotuba hii, vipo vitabu vinne vinavyoelezea kwa kina takwimu za bajeti. Kitabu cha Kwanza kinahusu makisio ya mapato. Kitabu cha Pili na cha Tatu ni vya makisio ya matumizi ya kawaida kwa Wizara, Idara zinazojitegemea, Mikoa na Halmashauri za Miji na Wilaya. Kitabu cha Nne kinaelezea makadirio ya matumizi ya maendeleo kwa Wizara, Idara zinazojitegemea, Mikoa, pamoja na Halmashauri. Aidha, upo Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2008, ambao ni sehemu ya bajeti hii.

Description

Keywords

Bajeti

Citation