Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali 2008 - 2009

dc.contributor.authorTanzania, United Republic
dc.date.accessioned2022-10-20T16:57:29Z
dc.date.available2022-10-20T16:57:29Z
dc.date.issued2008
dc.description.abstractMheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kujadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2008/09. Pamoja na hotuba hii, vipo vitabu vinne vinavyoelezea kwa kina takwimu za bajeti. Kitabu cha Kwanza kinahusu makisio ya mapato. Kitabu cha Pili na cha Tatu ni vya makisio ya matumizi ya kawaida kwa Wizara, Idara zinazojitegemea, Mikoa na Halmashauri za Miji na Wilaya. Kitabu cha Nne kinaelezea makadirio ya matumizi ya maendeleo kwa Wizara, Idara zinazojitegemea, Mikoa, pamoja na Halmashauri. Aidha, upo Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2008, ambao ni sehemu ya bajeti hii.en_US
dc.identifier.urihttp://repository.mof.go.tz/handle/123456789/123
dc.language.isootheren_US
dc.publisherWizara ya Fedha na Mipangoen_US
dc.subjectBajetien_US
dc.titleHotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali 2008 - 2009en_US

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali 2008 - 2009.pdf
Size:
867.02 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Swahili-Fulltext

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: