Budget Documents
Permanent URI for this communityhttp://10.1.67.219/handle/123456789/4
Browse
Browsing Budget Documents by Subject "Bajeti Kuu ya Serikali"
Now showing 1 - 2 of 2
- Results Per Page
- Sort Options
Item Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mwaka 2024-2025(Wizara ya Fedha, 2024-06) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee, lijadili na kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2024/25. Bajeti hii inawasilishwa kwa mujibu wa Ibara ya 137 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ikisomwa pamoja na Kifungu cha 23 (3) cha Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kifungu cha 124 (4) cha Kanuni za Kudumu za Bunge Toleo la Februari 2023.Item Hotuba ya Mhe. Waziri wa Fedha Akiwasilisha Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti Ya Serikali Kwa Mwaka 2024/2025(Wizara ya Fedha, 2024-03) Jamhuri ya Muungano, TanzaniaMheshimiwa Mwenyekiti, napenda kutumia nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia afya njema na kuniwezesha kuwasilisha mbele ya Bunge lako Tukufu Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2024/2025.