Budget Guidelines
Permanent URI for this collectionhttps://repository.mof.go.tz/handle/123456789/751
Browse
Browsing Budget Guidelines by Subject "Bajeti"
Now showing 1 - 4 of 4
- Results Per Page
- Sort Options
Item Mwongozo wa Maandalizi na Mpango wa Bajeti kwa mwaka 2018 - 2019(Wizara ya Fedha na Mipango, 2017) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaSerikali imeendelea kufanya maboresho ya Sheria, mifumo ya malipo na mifumo ya uandaaji wa mipango na bajeti katika jitihada za kuboresha usimamizi wa fedha za umma na kuboresha utoaji wa huduma.Item Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali Kwa Mwaka 2023 - 2024(Wizara ya Fedha na Mipango, 2022) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2023/24 umeandaliwa kwa mujibu wa Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kanuni zake za mwaka 2015. Uandaaji wa Mwongozo huu umefanyika kwa kurejea vipaumbele vilivyoainishwa kwenye dira, sera, mikakati na miongozo ya maendeleo kitaifa na kimataifa. Nyaraka zilizorejewa ni pamoja na: Mpango wa Maendeleo wa Taifa (2021/22 – 2025/26); Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020; Mpango Kazi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara; Mpango Mkuu wa Maendeleo ya Sekta ya Fedha (2020/21 -2029/30); Sheria ya Bajeti, Sura 439; Sheria ya Madeni, Dhamana na Misaada, Sura 134; Sheria ya Fedha za Umma, Sura 348; Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410; Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa Awamu ya Tatu; Mwongozo wa Ushirikiano wa Maendeleo; Malengo ya Maendeleo Endelevu 2030; Agenda ya Afrika Mashariki 2050; Dira ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika 2050; na Agenda ya Afrika 2063.Item Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali wa Mwaka 2019-20 / 2021-22(Wizara ya Fedha na Mipango, 2018) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaSura hii inaeleza kwa ufupi utekelezaji wa Serikali katika mapato, matumizi, misaada na mikopo kwa mwaka 2017/18. Tathmini imefanyika kwa kulinganisha utekelezaji dhidi ya malengo katika kipindi husika. Kadhalika, mapitio yamefanyika kwa miradi michache inayoendelea na mipango mingine ya Serikali kwa kulinganisha matumizi halisi dhidi ya malengo yaliyowekwa pamoja na mafanikio yaliyopatikana katika kipindi hicho.Item Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali wa Mwaka 2021-22(Wizara ya Fedha na Mipango, 2021) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2021/22 unatoa maelekezo ya kuzingatiwa na Maafisa Masuuli wa Wizara, Idara Zinazojitegemea, Sekretarieti za Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Taasisi na Mashirika ya Umma wakati wa uandaaji na utekelezaji wa mpango na bajeti. Mwongozo wa mwaka 2021/22 umeandaliwa kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439