Citizen Budget
Permanent URI for this collectionhttps://repository.mof.go.tz/handle/123456789/47
Browse
Browsing Citizen Budget by Subject "Bajeti ya Wananchi"
Now showing 1 - 1 of 1
- Results Per Page
- Sort Options
Item Bajeti ya Serikali Toleo la Mwananchi 2025-26.(Wizara ya Fedha, 2025-08) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaBajeti ya Serikali ni mpango wa kifedha unaoandaliwa kwa kipindi cha mwaka mmoja unaoonesha mapato na matumizi yanayotarajiwa. Kupitia bajeti, Serikali huorodhesha vyanzo vya mapato vya ndani kama kodi na vyanzo vya mapato vya nje ikiwemo misaada na mikopo. Vilevile, Serikali hupanga kutumia mapato yatakayokusanywa kutoka katika vyanzo vyake vya mapato ili kugharamia utoaji wa huduma muhimu kwa wananchi ikiwemo elimu, afya, maji na miundombinu ya barabara.