MoF Budget
Permanent URI for this collectionhttp://10.1.67.219/handle/123456789/226
Browse
Browsing MoF Budget by Subject "Budget speech"
Now showing 1 - 1 of 1
- Results Per Page
- Sort Options
Item Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2023 - 2024 (Ministry of Finance and Planning, 2023-06-08) Tanzania, United RepublicMheshimiwa Spika, baada ya kupokea taarifa iliyowasilishwa mbele ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Daniel Baran Sillo – Mbunge wa Babati Vijijini, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako lipokee na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka 2022/23 na kuidhinisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya mafungu tisa (9) ya Wizara ya Fedha na Mipango, pamoja na Fungu 45 - Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa mwaka 2023/24.