National Economic Survey
Permanent URI for this communityhttp://10.1.67.219/handle/123456789/10
Browse
Browsing National Economic Survey by Subject "Hali ya uchumi"
Now showing 1 - 9 of 9
- Results Per Page
- Sort Options
Item Hali ya Uchumi Katika Mwaka,2012(Wizara ya Fedha, 2012) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaPalo halisi la Taifa katika mwaka 2012 lilikua kwa kiwango cha asilimia 6.9kilinganislnva na ukuaji \Va asilimia 6.41nwaka 201 I. Ongezeko hili la ukuaj i lilitokana1a kuboreshwa kwa n1iundombinu ya usafirishaj i na ma\vasiliano parnoja na kuimarika,wa uzalishaji viwandani kutokana na jitihada za serikali za kuhakisha upatikanaji wa1meme wa uhakika sambamba na matumizi ya nishatmbadala katika uzalishajiItem Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,1995(Wizara ya Fedha, 1995) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaPalo halisi la Taifa katika mwaka 1995 lilikua kwa kiwango cha asilimia 6.9kilinganislnva na ukuaji \Va asilimia 6.41nwaka 201 I. Ongezeko hili la ukuaj i lilitokana1a kuboreshwa kwa n1iundombinu ya usafirishaj i na ma\vasiliano parnoja na kuimarika,wa uzalishaji viwandani kutokana na jitihada za serikali za kuhakisha upatikanaji wa1meme wa uhakika sambamba na matumizi ya nishatmbadala katika uzalishajiItem Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,1998(Wizara ya Fedha, 1998) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMpangilio ambao u,nekuwa ukifuatwa ka1ika kua11daa ripoti ya Hali yaUchumi wa Taifa hadi mwaka 1997 ulianzisl11va mwaka 1970. Katika kipiruli hicho chore, hapakufanyika mabadiliko yoyote ya msingi katika mpangilio wa ripoti hiyoItem Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2001(Wizara ya Fedha, 2001) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaKatika mwaka 200I, Pato halisi la Tai fa lilikua kwa asilimia 5.6ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 4.9 mwaka 2000. Ukuaji huu ulichangiwa zaidi na kukua kwa sekta za kilimo; bidhaa za viwanda; uuzaj i jumla, rejareja na ahoteli (i kijumuisha utalii); na uchukuzi na mawasiliano. Kiwango cha ukuaji wa sekta za ujenz.i; uchimbaji madini na mawe; uendeshaji serikali; umeme na maji; na fedha na huduma za bima kilishuka ikilinganishwa na ilivyokuwa mwaka 2000.Item Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2008(Wizara ya Fedha, 2008) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaKatika mwaka 2008, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilimia 7 .4 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 7 .1 mwaka 2007. Ukuaji hu ulichangiwa zaidi na kuongezeka kwa viwango vya ukuaji katika shughuli za kiuchumi za kilimo; uvuvi; na huduma. Ukuaj i wa viwango vya juu ulijioneshakatika shughuli ndogo za kiuchumi za: mawasiliano (asilimia 20.5); fedha (asilimia 11.9); na uj enzi (asilimia 10.5). Hata hivyo, kiwango cha ukuaji katika shughuli za kiuchumi za viwanda na uj enzi kilipungua. Mchango wa shughuli za kiuchumi za huduma umeendelea kuongezeka katika mwaka 2008 ikilinganishwa na shughuli nyingine za kiuchumi.Item Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2013(Wizara ya Fedha, 2013) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMwaka 2013, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilimia 7.0ikilinganishwa na ukuaj i wa asilimia 6.9 mwaka 20 12. Ukuaj i huu ulitokana nakuimarika kwa sekta zinazochangia Pato la Taifa kwa kiasi kikubwa hususansekta za kilimo, uj enzi na biashara. Ukuaj i wa viwango vya juu ulijionesha katika shughuli ndogo za kiuchutni za: mawasiliano (asilimia 22.8); fedha(asilimia 12.2); uj enzi (asilimia 8.6); na biashara (asilimia 8.3).Item Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2018(Wizara ya Fedha, 2018) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMwaka 20 18, Serikali kupitia Ofisi ya Tai fa ya Takwimu ilifanya maboreshoya tak,vimu za Pato la Taifa kwa kutun1ia mwaka 20 15 kama mwaka wa kiziokutoka mwaka wa kizio wa 20.07. Kufuatia maboresho hayo, mabadiliko kadhaayalijitokeza ikiwemo mfu1no na ukubwa wa Pato la Taifa; viwango vya ukuajina 1nchango wa sekta mbali1nbali katika Pato la Taifa; na uwiano v.1a viashiria1nbalimbali kwa Pato la Taifa. Maelezo ya kina kuhusu maboresho hayo yako .katika sura ya kurniItem Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2020(Wizara ya Fedha, 2020) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaItem Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2020(Wizara ya Fedha, 2020) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMwaka 2020, Pato la Taifa lilikua kwa asilimia 4.8 ikilinganishwa na asilimia 7.0 mwaka 2019. Kupungua kwa kasi ya ukuaji kulitokana na: mvua zilizozidi wastani ambazo zilisababisha uharibifu wa miundombinu ya usaflrishaji nchini na kuchelewesha utekelezaji wa baadhi ya miradi; na athari za hatua zilizochukuliwa na mataifa mbalimbali duniani ambao ni washirika wakubwa wa biashara wa Tanzania katika kukabiliana na janga la UVIK0-19.