Government Budget Speeches
Permanent URI for this collectionhttp://10.1.67.219/handle/123456789/61
Browse
Browsing Government Budget Speeches by Subject "Bajeti"
Now showing 1 - 6 of 6
- Results Per Page
- Sort Options
Item Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali 2008 - 2009(Wizara ya Fedha na Mipango, 2008) Tanzania, United RepublicMheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kujadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2008/09. Pamoja na hotuba hii, vipo vitabu vinne vinavyoelezea kwa kina takwimu za bajeti. Kitabu cha Kwanza kinahusu makisio ya mapato. Kitabu cha Pili na cha Tatu ni vya makisio ya matumizi ya kawaida kwa Wizara, Idara zinazojitegemea, Mikoa na Halmashauri za Miji na Wilaya. Kitabu cha Nne kinaelezea makadirio ya matumizi ya maendeleo kwa Wizara, Idara zinazojitegemea, Mikoa, pamoja na Halmashauri. Aidha, upo Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2008, ambao ni sehemu ya bajeti hii.Item Hotuba ya Bajeti kuu ya Serikali ya Makadilio ya Mapato na Matumizi ya Mwaka 2006-2007(Wizara ya Fedha na Mipango, 2006-06) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge likubali kujadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2006/2007. Pamoja na hotuba hii, vimetayarishwa vitabu vinne vinanyoelezea kwa kina takwimu za bajeti. Kitabu cha kwanza kinahusu makasio ya mapato, kitabu cha pili na cha tatu vina makisio ya matumizi ya kawaida kwa Wizara, Idara zinazojitegemea, Mikoa na Halmashauri za Miji na Wilaya. Kitabu cha Nne kinaelezea makadirio ya matumizi ya maendeleo kwa Wizara, Idara na Mikoa pamoja na Halmashauri. Aidha, upo Muswada wa sheria ya Fedha na mwaka 2006/2007 ambao ni sehemmu ya bajeti hii.Item Hotuba ya Mwl.Juliua K. Nyerere 25,SEP 1980(Wizara ya Fedha, 1980-09-25) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaItem Hotuba ya Rais Ally Hassan Mwinyi 1987,kuhusu Hali ya Uchumu Wetu(Wizara ya Fedha, 1987-05) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaItem Hotuba ya Rais Mwalimu Julius K. Nyerere aliyotoa siku ya mashujaa 1979-MAPAMBANO YANAENDELEA(Wizara ya Fedha, 1979-09-01) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaItem Hotuba ya Rais Mwalimu Julius K. Nyerere 1984, Semina ya Elimu Arusha(Wizara ya Fedha, 1984-10-22) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania