Budget Guidelines
Permanent URI for this collectionhttp://10.1.67.219/handle/123456789/751
Browse
Browsing Budget Guidelines by Author "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"
Now showing 1 - 7 of 7
- Results Per Page
- Sort Options
Item Mwongozo wa Kitaifa wa Ufatiliaji na Tathmini ya Miradi na Programu za Maendeleo.(2022-01) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaWizara ya Fedha na Mipango ina jukumu la kusimamia na kuratibu shughuli za ufauatiliaji na Tathmini(U&T) ya utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya miradi na programu za maendeleo kitaifa, Aidha, Wizara, Taasisi za Umma na Mamlaka za Serikali za Mitaa zina jukumu la kutekeleza shughuli za ufuatiliaji na Tathmini ya miradi na programu za kimaendeleo zinazotekelezwa na taasisi hizo katika maeneo husika. Hata hivyo, Uratibu wa shughuri za ufauatiliaji na tathamini wa miradi na programu za kimaendeleo umekuwa na changamoto mbalimbali zikiwemo: Miradi mingi kutokufanyiwa ufuatiliaji na tathmini, Kukosekana kwa taarifaza utekelezaji wa miradi na programu za maendeleo, kukosekana kwa uwajibikaji katika ufuatiliaji na tathmini ya miradi na programu za maendeleo na Serikali kukosa taarifa na takwimu zenye ubora na kwa wakati kwa ajili ya kufanya maamuziItem Mwongozo wa Maandalizi na Mpango wa Bajeti kwa mwaka 2018 - 2019(Wizara ya Fedha na Mipango, 2017) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaSerikali imeendelea kufanya maboresho ya Sheria, mifumo ya malipo na mifumo ya uandaaji wa mipango na bajeti katika jitihada za kuboresha usimamizi wa fedha za umma na kuboresha utoaji wa huduma.Item Mwongozo Wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti Ya Serikali Kwa Mwaka,2020- 2021(Wizara ya Fedha, 2020) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaItem Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali Kwa Mwaka 2023 - 2024(Wizara ya Fedha na Mipango, 2022) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2023/24 umeandaliwa kwa mujibu wa Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kanuni zake za mwaka 2015. Uandaaji wa Mwongozo huu umefanyika kwa kurejea vipaumbele vilivyoainishwa kwenye dira, sera, mikakati na miongozo ya maendeleo kitaifa na kimataifa. Nyaraka zilizorejewa ni pamoja na: Mpango wa Maendeleo wa Taifa (2021/22 – 2025/26); Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020; Mpango Kazi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara; Mpango Mkuu wa Maendeleo ya Sekta ya Fedha (2020/21 -2029/30); Sheria ya Bajeti, Sura 439; Sheria ya Madeni, Dhamana na Misaada, Sura 134; Sheria ya Fedha za Umma, Sura 348; Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410; Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa Awamu ya Tatu; Mwongozo wa Ushirikiano wa Maendeleo; Malengo ya Maendeleo Endelevu 2030; Agenda ya Afrika Mashariki 2050; Dira ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika 2050; na Agenda ya Afrika 2063.Item Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022-23(Wizara ya Fedha na Mipango, 2021) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23 umeandaliwa kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kanuni zake za mwaka 2015. Uandaaji wa Mwongozo huu umefanyika kwa kurejea nyaraka za kitaifa ikiwemo Sera na Mipango, Sheria, Miongozo na Waraka mbalimbali za Serikali pamoja na makubaliano ya kikanda na kimataifa yaliyoridhiwa na Tanzania. Baadhi ya nyaraka zilizorejewa ni pamoja na: Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025; Mpango wa Maendeleo wa Taifa (2021/22–2025/26); Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020; Mpango Kazi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara; Mpango Mkuu wa Maendeleo ya Sekta ya Fedha (2020/21 -2029/30); Sheria ya Bajeti, Sura 439; Sheria ya Madeni, Dhamana na Misaada, Sura 134; Sheria ya Fedha za Umma, Sura 348; Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura 410; Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa Awamu ya Tatu; Mwongozo wa Ushirikiano wa Maendeleo; Agenda ya Afrika Mashariki 2050; Agenda ya Afrika 2063; na Malengo ya Maendeleo Endelevu 2030.Item Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali wa Mwaka 2019-20 / 2021-22(Wizara ya Fedha na Mipango, 2018) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaSura hii inaeleza kwa ufupi utekelezaji wa Serikali katika mapato, matumizi, misaada na mikopo kwa mwaka 2017/18. Tathmini imefanyika kwa kulinganisha utekelezaji dhidi ya malengo katika kipindi husika. Kadhalika, mapitio yamefanyika kwa miradi michache inayoendelea na mipango mingine ya Serikali kwa kulinganisha matumizi halisi dhidi ya malengo yaliyowekwa pamoja na mafanikio yaliyopatikana katika kipindi hicho.Item Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali wa Mwaka 2021-22(Wizara ya Fedha na Mipango, 2021) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2021/22 unatoa maelekezo ya kuzingatiwa na Maafisa Masuuli wa Wizara, Idara Zinazojitegemea, Sekretarieti za Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Taasisi na Mashirika ya Umma wakati wa uandaaji na utekelezaji wa mpango na bajeti. Mwongozo wa mwaka 2021/22 umeandaliwa kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439