(Wizara ya Fedha, 1981) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mpango wa Tatu wa Maendeleo ya Miaka Milano ya Kijamii na Kiucbumi oi barua ya mwisho kati.ka utekelezaji wa Mpango wa muda mrefu uliobuniwa mwaka 1964 kumalizikia 1980. Mpango huu wa tatu ambao unaanza mwaka 1976/77 na kumaJizikia mwaka 1980/81 wa kwanza na pekee ambao umejadiliwa n a vikao vya ngazi zote za Taifa kutoka Vijijini,
Wilayani, Mikoani na katika Taifa.