Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2019 -2020
Loading...
Date
2019
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wizara ya Fedha na Mipango
Abstract
Mheshimiwa Mwenyekiti, awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kutujalia uhai na afya njema na kutuwezesha wabunge wote kukutana tena hapa Jijini Dodoma, kupokea mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2019/20, kwa mujibu wa Kanuni ya 97 fasili ya (1) na (2) ya Kanuni za Kudumu za Bunge Toleo la Januari 2016. Aidha, tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kuijalia nchi yetu umoja na amani.
Description
Keywords
Mpango wa Maendeleo, Hali ya Uchumi, Pato la Taifa, Deni la Taifa