Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019

dc.contributor.authorTanzania, United Republic
dc.date.accessioned2022-10-25T08:44:09Z
dc.date.available2022-10-25T08:44:09Z
dc.date.issued2019
dc.description.abstractPato halisi la Taifa lilikua kwa asilimia 7.0 mwaka 2019 kama ilivyokuwa mwaka 2018. Ukuaji huu ulitokana na kuendelea kuimarika kwa sekta ya madini, kuboreshwa kwa huduma za usafiri na usafirishaji, pamoja na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa barabara, reli, viwanja vya ndege, miradi ya nishati ya umeme pamoja na ujenzi na ukarabati wa vituo vya kutolea huduma za afya. Sekta zilizokuwa na viwango vikubwa vya ukuaji mwaka 2019 ni pamoja na: madini iliyokua kwa asilimia 17.7; ujenzi (asilimia 14.8); sanaa na burudani (asilimia 11.2); na usafirishaji na uhifadhi mizigo (asilimia 8.7).en_US
dc.identifier.urihttp://repository.mof.go.tz/handle/123456789/175
dc.language.isoenen_US
dc.subjectHali ya uchumi wa Taifaen_US
dc.titleKitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019en_US

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
KITABU CHA HALI YA UCHUMI WA TAIFA MWAKA 2019.pdf
Size:
3.78 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Swahili-Full Text

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: