Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050

dc.contributor.authorJamhuri ya Muungani wa Tanzania
dc.date.accessioned2025-07-18T13:06:45Z
dc.date.issued2025-06
dc.description.abstractJamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi moja inayoundwa na Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar, ikiwa na ukubwa wa eneo la kilomita za mraba (km ) 948,740, zikiwemo km 61,500 za maziwa na mito. Tanzania ipo katika ukanda wa Afrika ya Mashariki, katika ukanda wa Maziwa Makuu ikipakana na Kenya na Uganda kwa upande wa kaskazini; Rwanda, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa upande wa magharibi; Zambia, Malawi na Msumbiji kwa upande wa kusini; na Bahari ya Hindi kwa upande wa mashariki. Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, ilionesha kuwa Tanzania ina watu milioni 61.7, na hivyo kuwa miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya watu barani Afrika. Aidha, kwa mujibu wa sensa hiyo, asilimia 43 ya watu wote walikuwa na umri usiozidi miaka 15, kiwango kinachozidi wastani wa nchi za bara la Afrika ambao ni asilimia 41.
dc.identifier.urihttps://repository.mof.go.tz/handle/123456789/887
dc.subjectDira 2050
dc.subjectMaendeleo ya Taifa
dc.subjectMipango ya Maendeleo
dc.subjectMipango ya Taifa
dc.titleDira ya Maendeleo ya Taifa 2050
dc.title.alternativeDIRA2050
dc.typeBook

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 (DIRA2050).pdf
Size:
1.09 MB
Format:
Adobe Portable Document Format

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: