Hotuba ya Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb,) Akiwasilisha Bungeni Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa Mwaka 2024-2025 na Mapendekezo ya Mpango na Bajeti ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka

dc.contributor.authorJamhuri ya Muungano ya Tanzanaia
dc.date.accessioned2025-07-04T07:58:53Z
dc.date.issued2025-06-04
dc.description.abstractMheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa leo mbele ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge likubali kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Fedha na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa mwaka 2024/25 inayoundwa na mafungu tisa (9) ambayo ni: Fungu 001 – Deni la Serikali; Fungu 006 – Idara ya Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali; Fungu 010 – Tume ya Pamoja ya Fedha; Fungu 013 – Kitengo cha Udhibiti wa Fedha Haramu; Fungu 021 – Hazina; Fungu 022 – Huduma za Mfuko Mkuu; Fungu 023 – Idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali; Fungu 050 – Wizara ya Fedha; na Fungu 045 - Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi. Aidha, ninaliomba Bunge lako Tukufu likubali kupokea, kujadili na kuidhinisha Mapendekezo ya Mpango na Bajeti kwa mwaka 2025/26 ya mafungu nane (8) ya Wizara ya Fedha pamoja na Fungu 045 - Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.
dc.identifier.urihttps://repository.mof.go.tz/handle/123456789/880
dc.publisherWizara ya Fedha
dc.relation.ispartofseries3
dc.subjectMpango wa Bajeti
dc.titleHotuba ya Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb,) Akiwasilisha Bungeni Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa Mwaka 2024-2025 na Mapendekezo ya Mpango na Bajeti ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka
dc.typeBook

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Hotuba ya Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb,) Akiwasilisha Bungeni Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa Mwaka 2024-2025 na Mapendekezo ya Mpango na Bajeti ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka.pdf
Size:
13 MB
Format:
Adobe Portable Document Format

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: