Search
Now showing items 11-17 of 17
Mapendekezo ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/2026
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)
Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 ambayo ni nyenzo ya kuunganisha juhudi za Taifa katika kufikia malengo ya maendeleo yanayotarajiwa ya kijamii na kiuchumi ilizinduliwa mwaka 1999. Uzinduzi huo ulifuatiwa na hatua za maboresho ...
Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2022 - 2023
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2022)
Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2022/23 ni wa Pili katika utekelezaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26 wenye dhima ya Kujenga Uchumi Shindani na Viwanda kwa Maendeleo ya Watu ...
Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2022/23
(Wizara ya Fedha na Uchumi, 2021)
Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2021/22 umeandaliwa kwa mujibu wa Ibara ya 63 (3) (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Sheria ya Bajeti, Sura 439. Mpango huu umeandaliwa kwa lengo la ...
The Third Strategic Plan (2021-2022 - 2025-2026)
(Ministry of Finance, 2021-12)
The Ministry’s third Strategic Plan (2021/22-2025/26) is a successor to the second Plan 2017/18 - 2021/22. The third Strategic Plan, among others, comprises the Ministry’s interventions as specified in the Five-Year National ...
Tanzania’s 2023 Voluntary National Review (VNR) Report on the Implementation of the 2030 Agenda for Sustainable Development
(Ministry of Finance, 2023)
It is my pleasure to present the second Voluntary National Review (VNR 2023) of the United Republic of Tanzania, covering both Mainland Tanzania and Tanzania Zanzibar. Building upon the VNR 2019 experience; this VNR 2023 ...
Evaluation of the Implementation of the 2nd National 5yrs Development Plan, 2016-2021
(Ministry of Finance, 2021)
This report is based on the evaluation of Tanzania's Second Five YearsDevelopment Plan (FYDP-II for 20 16/l 7 to 2020/2 1) whose theme is "NurturingIndustrialization for Economic Transformation and Human Development" as ...
Mapendekezo ya Serikali ya Mpango Wa Maendeleo Wa Taifa 2021-2022
(Wizara ya Fedha, 2021)
Mpango wa Maendeloo wa Taifa wa Mwaka 2021./22 umeandaliwa kwa mujibu wa Ibara ya 63 (3) (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwal<a 1977,Sheria ya Bajeti, Sura "'-"9 na Kanuni ya 1l6 (l) ya Ka.nuni za Kudumu ...