Show simple item record

dc.contributor.authorJamhuri ya Muungano wa Tanzania
dc.date.accessioned2025-03-14T08:21:19Z
dc.date.available2025-03-14T08:21:19Z
dc.date.issued2024
dc.identifier.urihttps://repository.mof.go.tz/handle/123456789/847
dc.description.abstractKaribu mjisomee Jarida la Hazina Yetu la robo ya pili ya utekelezaji wa Bajeti ya mwaka wa Fedha 2024/2025, Kuanzia mwezi September hadi Desemba,2024, Tunalolitoa katika mfumo wa nakala laini na nakala ngumu, na kuandaliwa na kuzalishwa na kitengo cha mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha Kwenye toleo hili tunawaletea Makala mbalimbali na taarifa muhimu na za kina kuhusu Elimu ya Fedha inayotolewa na Serkali kupitia Wizara yetu na Taasisi zake kwa wananchi ili kuongeza uelewa wa masuala ya Kifedha na kukuza ushiriki wa kila mmoja katika uchumi rasmi. Pia, tunaangazia sekta ya Ununuzi na Ugavi, Ikiwa ni mhimili muhimu wa usimamizi wa rasimali za umma kwa uwazi na ufanisi.en_US
dc.subjectJarida la Wizaraen_US
dc.titleHazina Yetu - Toleo la Pili 2024-2025en_US
dc.typeBooken_US
dcterms.publisherWizara ya Fedha


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record