Show simple item record

dc.contributor.authorUnited Republic, Tanzania
dc.date.accessioned2025-01-29T08:37:08Z
dc.date.available2025-01-29T08:37:08Z
dc.date.issued2024-06
dc.identifier.urihttps://repository.mof.go.tz/handle/123456789/804
dc.description.abstractSekta ndogo ya benki ni muhimu katika kutoa huduma mbalimbali ikiwemo kupokea na kutunza amana za wateja, kutoa mikopo kwa ajili ya shughuli za kiuchumi na kijamii na kuwezesha malipo mbalimbali. Sekta ya Benki nchini inaundwa na benki za biashara, benki za kijamii, benki za huduma ndogo za fedha, na benki za maendeleo. Sekta Ndogo ya Benki inaunda sehemu kubwa ya sekta ya fedha a mbapo hadi kufikia Desemba 2020 ilikuwa inakadiri wa kuchangia asilimia 70 ya mali za sekta ya fedha. Kutokana na sekta ndogo ya benki kuwa na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi na kupunguza umaskini, Serikali imeku wa ikifanya maboresh o yakiwemomaboresho ya kwanza ( 1991- 2003) na ya pili ( 2006) ya sekta ya fedha ambayo yalilenga kuwezesha upatikanaji na utumiaji wa huduma za benki chini. Maboresho hayo yalisaidia kukua kwa sekta ndogo ya benki kulikochangi wanakuongeza kwa idadi ya taasisi za benki na kufikia 46 mwaka 2021 kutoka benki 10 miaka ya 1990.en_US
dc.publisherWizara ya Fedhaen_US
dc.subjectTaarifa za Kiseraen_US
dc.subjectUkuaju wa Benkien_US
dc.subjectSekta Ndogo za Kibenkien_US
dc.titleTaarifa Fupi ya Kisera, 2022en_US
dc.title.alternativeMatokeo ya Huduma ya Uwakala wa Benki katika Ukuaji wa sekta Ndogo ya Benki ya Tanzaniaen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record