Browsing Budget Guidelines by Subject "Mwongozo wa Bajeti"
Now showing items 1-4 of 4
-
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka 2018/2019
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2017)Mwongozo wa Mpango na Bajeti umeandaliwa kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti Na.11 ya Mwaka 2015 na Kanuni zake. Mwongozo wa Mwaka 2018/19 ni wa tatu katika kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka 2019/20 / 2021/22
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2018)Sura hii inaeleza kwa ufupi utekelezaji wa Serikali katika mapato, matumizi, misaada na mikopo kwa mwaka 2017/18. Tathmini imefanyika kwa kulinganisha utekelezaji dhidi ya malengo katika kipindi husika. Kadhalika, mapitio ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2019/20 – 2021/2022
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2018)Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23 umeandaliwa kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kanuni zake za mwaka 2015. Uandaaji wa Mwongozo huu umefanyika kwa kurejea ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2022/2023
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2022)Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23 umeandaliwa kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kanuni zake za mwaka 2015. Uandaaji wa Mwongozo huu umefanyika kwa kurejea ...