Show simple item record

dc.contributor.authorJamhuri ya Muungano wa Tanzania
dc.date.accessioned2024-03-18T08:49:43Z
dc.date.available2024-03-18T08:49:43Z
dc.date.issued2001
dc.identifier.urihttps://repository.mof.go.tz/handle/123456789/719
dc.description.abstractKatika mwaka 200I, Pato halisi la Tai fa lilikua kwa asilimia 5.6ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 4.9 mwaka 2000. Ukuaji huu ulichangiwa zaidi na kukua kwa sekta za kilimo; bidhaa za viwanda; uuzaj i jumla, rejareja na ahoteli (i kijumuisha utalii); na uchukuzi na mawasiliano. Kiwango cha ukuaji wa sekta za ujenz.i; uchimbaji madini na mawe; uendeshaji serikali; umeme na maji; na fedha na huduma za bima kilishuka ikilinganishwa na ilivyokuwa mwaka 2000.en_US
dc.publisherWizara ya Fedhaen_US
dc.subjectUchumien_US
dc.subjectHali ya uchumien_US
dc.subjectBajetien_US
dc.titleHali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2001en_US
dc.typeBooken_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record