Show simple item record

dc.contributor.advisor
dc.contributor.authorTanzania, Jamhuri ya Muungano
dc.date.accessioned2023-08-11T08:59:05Z
dc.date.available2023-08-11T08:59:05Z
dc.date.issued2021
dc.identifier.urihttps://repository.mof.go.tz/handle/123456789/624
dc.description.abstractNyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha kwa Umma imeandaliwa kwa dhumuni la kusaidia utekelezaji wa programu ya kutoa elimu ya fedha kwa Umma ya mwaka 2021/22-2025/26. Nyenzo hii imeainisha maeneo muhimu ya kuzingatia wakati wa utoaji wa elimu ya fedha kwa umma. Maeneo hayo ni pamoja na: usimamizi wa fedha binafsi; uwekaji wa akiba; mikopo; uwekezaji; bima; bima ya amana; mpango wa kujiandaa na maisha ya uzeeni; watoa huduma za fedha; wasimamizi wa sekta ya fedha; kodi; mifumo ya malipo; na kuwalinda watumiaji wa huduma za fedha. Nyenzo hii inatoa maana ya mada, umuhimu na masuala mengine yaliyoainishwa katika mpango wa utoaji wa elimu ya fedha. Vile vile inatoa fursa ya uelewa wa masuala ya sekta ya fedha kwa wadau wote kutoka Serikalini, sekta binafsi, wasimamizi wa sekta ya fedha, Taasisi na asasi za kijamii, Taasisi za elimu, watoa huduma za fedha na umma kwa ujumla. Hivyo, ni wajibu wa kila mdau katika sekta ya fedha kutumia nyenzo hii katika kujenga uelewa pamoja na kutoa elimu ya fedha kwa umma na kutumia nyenzo fafanuzi zilizoandaliwa na Taasisi husika.en_US
dc.publisherWizara ya Fedhaen_US
dc.subjectElimu ya Fedhaen_US
dc.subjectNyezo ya kufundishiaen_US
dc.subjectAkibaen_US
dc.subjectMikopoen_US
dc.subjectUwekezajien_US
dc.titleNyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedhaen_US
dc.typeBooken_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record