Show simple item record

dc.contributor.authorThe United Republic of Tanzania
dc.date.accessioned2022-06-28T10:16:50Z
dc.date.available2022-06-28T10:16:50Z
dc.date.issued2020
dc.identifier.urihttp://knowledgebank.mof.go.tz/handle/123456789/57
dc.description.abstractBajeti ya Serikali Toleo la Wananchi ni Kijitabu kinachoelezea mipango na bajeti ya Serikali kwa muhtasari na lugha rahisi inayoweza kueleweka kwa Mwananchi wa kawaida na wadau mbalimbali. Kijitabu hiki kinamsaidia mwananchi kuielewa na kuifahamu bajeti ya Serikali kwa mwaka husika na jinsi bajeti inavyogusa maisha ya wananchi kwa njia mbalimbali. Kijitabu hiki kinatoa fursa kwa wananchi kushiriki kikamilifu katika kutoa maamuzi wakati wa mchakato wa kuandaa Mipango na Bajeti ya Serikali na hivyo kuhamasisha dhana ya uwazi na uwajibikaji katika kusimamia fedha za umma.en_US
dc.language.isoen_USen_US
dc.publisherMinistry of Finance and Planningen_US
dc.subjectThe Citizens’ Budgeten_US
dc.titleThe Citizens’ Budget for the year 2020-2021en_US
dc.typeBooken_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record