Muongozo Wa Kujiunga Na Mfumo Wa GePG, 2017
dc.contributor.author | Jamhuri ya Muungano wa Tanzania | |
dc.date.accessioned | 2023-06-15T14:22:16Z | |
dc.date.available | 2023-06-15T14:22:16Z | |
dc.date.issued | 2017 | |
dc.identifier.uri | https://repository.mof.go.tz/handle/123456789/474 | |
dc.description.abstract | Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Wizara ya Fedha na Mipango, ikishirikiana na Wadau mbalimbali wakiwemo Wakala wa Serikali Mtandao (eGA), wametengeneza Mfumo wa Ukusanyaji wa Maduhuri uitwao kwa jina la “Government Electronic Payment Gateway (GePG)”. Mfumo huu umekamilika na tayari baadhi ya taasisi za serikali zimeunganishwa kwa majaribio. Aidha, watoa huduma mbalimbali ikiwa ni pamoja na mabenki na mitandao ya simu wameshirikishwa ili kufanikisha utekelezaji wa azma ya Serikali. | en_US |
dc.publisher | Wizara ya Fedha | en_US |
dc.subject | GePG | en_US |
dc.title | Muongozo Wa Kujiunga Na Mfumo Wa GePG, 2017 | en_US |
dc.type | Technical Report | en_US |
Files in this item
This item appears in the following Collection(s)
-
GePG [11]