Search
Now showing items 1-2 of 2
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2017-2018.
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2017-06)
Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako tukufu lipokee, lijadili na kupitisha makadilio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka 2017/18. Bajeti hii inawakilishwa kwa kuzingatia matakwa ya katiba ya Jamhuri ...
Mwongozo wa Maandalizi na Mpango wa Bajeti kwa mwaka 2018 - 2019
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2017)
Serikali imeendelea kufanya maboresho ya Sheria, mifumo ya malipo na mifumo ya uandaaji wa mipango na bajeti katika jitihada za kuboresha usimamizi wa fedha za umma na kuboresha utoaji wa huduma.