Search
Now showing items 1-10 of 20
Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali 2008 - 2009
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2008)
Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kujadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2008/09. Pamoja na hotuba hii, vipo vitabu vinne vinavyoelezea kwa ...
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2010-2011.
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2010-06)
Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Fedha na Uchumi, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu likubali kupokea, kujadili na kupitisha Makadirio ya Mapato, ...
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2014- 2015
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2014-06)
Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kupokea, kujadili na kupitisha ...
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2022-2023
(Jamhuri ya Muungano, 2022-06)
Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako lipokee na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango ...
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2021 - 2022
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2021-06)
Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu lipokee na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa ...
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2020 - 2021
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2020-06)
Mheshimiwa Spika, kutokana na taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, iliyochambua bajeti za mafungu ya Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na Ofisi ya Taifa ...
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2015 - 2016
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2015-06)
Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uchumi,
Viwanda na Biashara, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu sasa likubali kupokea, kujadili na ...
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2016 - 2017
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2016-06)
Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu sasa likubali kupokea, kujadili na kupitisha Makadirio ya ...
Hotuba ya Bajeti kuu ya Serikali ya Makadilio ya Mapato na Matumizi ya Mwaka 2006-2007
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2006-06)
Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge likubali kujadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2006/2007. Pamoja na hotuba hii, vimetayarishwa vitabu vinne vinanyoelezea kwa ...
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2018-2019
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2018-06)
Mheshimiwa Spika, kutokana na taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa Hoja kwamba, Bunge lako sasa lipokee na kujadili mapitio ya utekelezaji ...