Browsing Budget Documents by Title
Now showing items 95-114 of 174
-
Hotuba ya Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Prof.Kighoma A.Malima, Mbunge, wakati akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka, 1993-1994
(Wizara ya Fedha, 1993)Mheshimiwa Spika, torehe 17 Juni Mwaka huu niliwasilisha mbele ya Bunge lako tukufu Bajeti ya Serikalj kwa Jumla kwa mwaka 1993/94, Bajeti hiyo ndiyo imekuwa msingi wa Bunge hill kuchambua, kujadili, na hatimaye kuidhinisha ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2010-2011.
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2010-06)Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Fedha na Uchumi, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu likubali kupokea, kujadili na kupitisha Makadirio ya Mapato, ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2014- 2015
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2014-06)Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kupokea, kujadili na kupitisha ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2015 - 2016
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2015-06)Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu sasa likubali kupokea, kujadili na ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2016 - 2017
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2016-06)Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu sasa likubali kupokea, kujadili na kupitisha Makadirio ya ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2017-2018.
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2017-06)Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako tukufu lipokee, lijadili na kupitisha makadilio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka 2017/18. Bajeti hii inawakilishwa kwa kuzingatia matakwa ya katiba ya Jamhuri ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2018-2019
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2018-06)Mheshimiwa Spika, kutokana na taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa Hoja kwamba, Bunge lako sasa lipokee na kujadili mapitio ya utekelezaji ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2020 - 2021
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2020-06)Mheshimiwa Spika, kutokana na taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, iliyochambua bajeti za mafungu ya Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na Ofisi ya Taifa ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2021 - 2022
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2021-06)Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu lipokee na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2022-2023
(Jamhuri ya Muungano, 2022-06)Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako lipokee na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango ... -
Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2023 - 2024
(Ministry of Finance and Planning, 2023-06-08)Mheshimiwa Spika, baada ya kupokea taarifa iliyowasilishwa mbele ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Daniel Baran Sillo – Mbunge wa Babati Vijijini, naomba kutoa hoja kwamba, ... -
Ijue sheria ya Bajeti Namba 11 ya Mwaka 2015
(Ministry of Finance and Planning, 2016-09)Sheria ya Bajeti Namba 11 ya Mwaka 2015 na Kanuni zake zilianza kutumika rasmi tarehe 1 Julai, 2015. Tangu sheria imeanza kutumika hadi sasa, kumekuwa na ongezeko la uhitaji wa wadau mbalimbali kutaka kuifahamu sheria ... -
Kitabu cha Nne Makadirio ya Fedha za Serikali 2003 - 2004
(Wizara ya Fedha, 2003)