Browsing Budget Documents by Title
Now showing items 116-135 of 179
-
Kitabu cha Nne Makadirio ya Fedha za Serikali 2003 - 2004
(Wizara ya Fedha, 2003) -
Makadirio ya Fedha za Serikali Sehemu A, 2000-2001
(Wizara ya Fedha, 2000) -
Mwongozo wa Kitaifa wa Ufatiliaji na Tathmini ya Miradi na Programu za Maendeleo.
(2022-01)Wizara ya Fedha na Mipango ina jukumu la kusimamia na kuratibu shughuli za ufauatiliaji na Tathmini(U&T) ya utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya miradi na programu za maendeleo kitaifa, Aidha, Wizara, Taasisi za Umma ... -
Mwongozo wa Maandalizi na Mpango wa Bajeti kwa mwaka 2018 - 2019
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2017)Serikali imeendelea kufanya maboresho ya Sheria, mifumo ya malipo na mifumo ya uandaaji wa mipango na bajeti katika jitihada za kuboresha usimamizi wa fedha za umma na kuboresha utoaji wa huduma. -
Mwongozo Wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti Ya Serikali Kwa Mwaka,2020- 2021
(Wizara ya Fedha, 2020) -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka 2018/2019
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2017)Mwongozo wa Mpango na Bajeti umeandaliwa kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti Na.11 ya Mwaka 2015 na Kanuni zake. Mwongozo wa Mwaka 2018/19 ni wa tatu katika kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka 2019/20 / 2021/22
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2018)Sura hii inaeleza kwa ufupi utekelezaji wa Serikali katika mapato, matumizi, misaada na mikopo kwa mwaka 2017/18. Tathmini imefanyika kwa kulinganisha utekelezaji dhidi ya malengo katika kipindi husika. Kadhalika, mapitio ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka 2025-2026
(Ministry of Finance, 2024-12)Sura hii inaelezea mwenendo wa hali ya uchumi wa dunia, kikanda na Tanzania kwa mwaka 2023 na mwelekeo wa uchumi katika kipindi cha mwaka 2024 hadi mwaka 2025, deni la Serikali pamoja na mapitio ya ukusanyaji ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali Kwa Mwaka 2023 - 2024
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2022)Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2023/24 umeandaliwa kwa mujibu wa Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kanuni zake za mwaka 2015. Uandaaji wa Mwongozo huu umefanyika kwa kurejea vipaumbele ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2019/20 – 2021/2022
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2018)Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23 umeandaliwa kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kanuni zake za mwaka 2015. Uandaaji wa Mwongozo huu umefanyika kwa kurejea ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2021/2022
(Ministry of Finance and Planning, 2021)Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2021/22 unatoa maelekezo ya kuzingatiwa na Maafisa Masuuli wa Wizara, Idara Zinazojitegemea, Sekretarieti za Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Taasisi na ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022-23
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23 umeandaliwa kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kanuni zake za mwaka 2015. Uandaaji wa Mwongozo huu umefanyika kwa kurejea ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2022/2023
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2022)Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23 umeandaliwa kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kanuni zake za mwaka 2015. Uandaaji wa Mwongozo huu umefanyika kwa kurejea ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2024-2025
(Wizara ya Fedha, 2023-11)Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali umeandaliwa kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439. Mwongozo wa mwaka 2024/25 ni wa nne (4) katika utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali wa Mwaka 2019-20 / 2021-22
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2018)Sura hii inaeleza kwa ufupi utekelezaji wa Serikali katika mapato, matumizi, misaada na mikopo kwa mwaka 2017/18. Tathmini imefanyika kwa kulinganisha utekelezaji dhidi ya malengo katika kipindi husika. Kadhalika, mapitio ...