Show simple item record

dc.contributor.authorTanzania, United Republic
dc.date.accessioned2022-11-14T10:15:27Z
dc.date.available2022-11-14T10:15:27Z
dc.date.issued2022
dc.identifier.urihttps://repository.mof.go.tz/handle/123456789/224
dc.description.abstractMheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu likae kama Kamati ya Mipango ili kupokea na kujadili Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2023/24. Mheshimiwa Spika, awali ya yote napenda kutumia fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kutujalia uhai na afya njema na kutuwezesha kukutana ili kuwasilisha na kujadili Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2023/24.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherWizara ya Fedha na Mipangoen_US
dc.subjectMwongozo wa Bajetien_US
dc.titleMapendekezo na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa Mwakaen_US
dc.typeTechnical Reporten_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record