Search
Now showing items 1-7 of 7
Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2017 - 2018
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2017)
Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2017/18 ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 – 2020/21 na hivyo unaendelea kutekeleza maeneo manne ya kipaumbele ya: (i) Viwanda vya kukuza ...
Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2018 - 2019
(Wizara ya Fedha, 2018)
Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2018/19 ni wa tatu katika utekelezaji wa Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano, 2016/17 – 2020/21. Malengo mahsusi ya Mpango huu ni: (a) Kuendeleza kasi ya ukuaji wa uchumi kwa ...
Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2017 - 2018
(Wizara ya Fedha, 2017)
Mpango wa Maendeleo wa Mwaka 2017/18 ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 – 2020/21 na hivyo unaendelea kutekeleza maeneo manne ya kipaumbele ya: (i) Viwanda vya kukuza uchumi ...
Mpango Wa Maendeleo Wa Taifa 2014 - 2015
(Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, 2014)
Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2014/15 ni wa tatu katika mfululizo wa mipango ya kila mwaka ya kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12-2015/16) ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025. ...
Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2013 - 2014
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2013)
Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2013/14 ni ya pili katika mfululizo wa mipango ya kila mwaka ya kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12-2015/16) ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ...
Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2012 - 2013
(Wizara ya Fedha, 2012)
Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2012/13 unabainisha misingi, malengo, vipaumbele, mikakati ya utekelezaji, na changamoto zilizopo hivi sasa katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo. Aidha, Mpango umejikita katika ...
Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2019 -2020
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2019)
Mheshimiwa Mwenyekiti, awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kutujalia uhai na afya njema na kutuwezesha wabunge wote kukutana tena hapa Jijini Dodoma, kupokea mapendekezo ya ...