Browsing One year development plan by Title
Now showing items 1-10 of 10
-
Hali ya Uchumi 2015 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2016-17
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2016)Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee na kujadili Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa Mwaka 2015 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2016/17. Pamoja na hotuba hii nawasilisha vitabu vya Taarifa ... -
Hotuba Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2022/23
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu likae kama Kamati ya Mipango ili kupokea na kujadili mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ... -
Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2023 -2024
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2023)Serikali inaendelea na utekelezaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26 wenye dhima ya Kujenga Uchumi Shindani na Viwanda kwa Maendeleo ya Watu. Mpango huo ni mwendelezo wa utekelezaji ... -
Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2013 - 2014
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2013)Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2013/14 ni ya pili katika mfululizo wa mipango ya kila mwaka ya kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12-2015/16) ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ... -
Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2022/23
(Wizara ya Fedha na Uchumi, 2021)Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2021/22 umeandaliwa kwa mujibu wa Ibara ya 63 (3) (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Sheria ya Bajeti, Sura 439. Mpango huu umeandaliwa kwa lengo la ... -
Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2017-2018
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2017)Mpango wa Maendeleo wa Mwaka 2017/18 ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 – 2020/21 na hivyo unaendelea kutekeleza maeneo manne ya kipaumbele ya: (i) Viwanda vya kukuza uchumi ... -
Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2018 - 2019
(Wizara ya Fedha na Uchumi, 2018)Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2018/19 ni wa tatu katika utekelezaji wa Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano, 2016/17 – 2020/21. Malengo mahsusi ya Mpango huu ni: (a) Kuendeleza kasi ya ukuaji wa uchumi kwa ... -
Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2020 - 2021
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2020)Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2020/21 ni wa tano na wa mwisho katika mfululizo wa mipango ya kila mwaka ya kutekeleza Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 – 2020/21 wenye dhima ya Kujenga ... -
Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2021 - 2022
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2021/22 umeandaliwa kwa mujibu wa Ibara ya 63 (3) (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Sheria ya Bajeti, Sura 439. Mpango huu umeandaliwa kwa lengo la ... -
Taarifa ya Hali ya Uchumi 2008 na Malengo katika Kipindi cha Muda wa Kati 2009 - 2012
(Wizara ya Fedha na Uchumi, 2008)Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu sasa likae kama Kamati ili liweze kupokea na kujadili Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa katika kipindi cha mwaka 2008 na malengo katika kipindi cha Muda wa Kati ...