Search
Now showing items 1-3 of 3
Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2016
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2016)
Mwaka 2016, Pato la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 7.0, sawa na ilivyokuwa mwaka 2015. Ukuaji huu wa uchumi ulitokana na: kuongezeka kwa ufuaji wa umeme hususan utokanao na gesi asilia; kuongezeka kwa uzalishaji ...
Hali ya Uchumi 2015 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2016-17
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2016)
Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee na kujadili Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa Mwaka 2015 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2016/17. Pamoja na hotuba hii nawasilisha vitabu vya Taarifa ...
Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2016
(Wizara ya Fedha, 2016)
Mwaka 20 I 6, Pato Ia Taifa I i likua kwa wastan i wa as il imia 7.0, sawa nai l ivyokuwa 1nwaka 20 1 5 . Ukuaji huu wa uchu1ni u l itokana na: kuongezeka kwaufuaj i wa u111eme hususan utokanao na gesi asilia; kLtongezeka ...