Search
Now showing items 1-1 of 1
Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2016
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2016)
Mwaka 2016, Pato la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 7.0, sawa na ilivyokuwa mwaka 2015. Ukuaji huu wa uchumi ulitokana na: kuongezeka kwa ufuaji wa umeme hususan utokanao na gesi asilia; kuongezeka kwa uzalishaji ...