Now showing items 3-22 of 29

    • Hali ya Uchumi 2015 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2016-17 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2016)
      Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee na kujadili Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa Mwaka 2015 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2016/17. Pamoja na hotuba hii nawasilisha vitabu vya Taarifa ...
    • Hali ya Uchumi Katika Mwaka,2012 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2012)
      Palo halisi la Taifa katika mwaka 2012 lilikua kwa kiwango cha asilimia 6.9kilinganislnva na ukuaji \Va asilimia 6.41nwaka 201 I. Ongezeko hili la ukuaj i lilitokana1a kuboreshwa kwa n1iundombinu ya usafirishaj i na ...
    • Hali ya Uchumi wa Taifa 2023 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2024-06)
      Mwaka 2023, Pato halisi la Taifa lilifikia shilingi bilioni 148,399.76 kutoka shilingi bilioni 141,247.19 mwaka 2022, sawa na ukuaji wa asilimia 5.1 ikilinganishwa na asimilia 4.7 mwaka 2022. Ukuaji huo ulichangiwa ...
    • Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka 2022 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2022)
      Mwaka 2022, thamani halisi ya Pato la Taifa ilifikia shilingi milioni 141,872,730 ikilinganishwa na shilingi milioni 135,478,189 mwaka 2021, sawa na ukuaji wa asilimia 4.7. Kiwango hicho cha ukuaji kilitokana na: mikakati ...
    • Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,1995 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 1995)
      Palo halisi la Taifa katika mwaka 1995 lilikua kwa kiwango cha asilimia 6.9kilinganislnva na ukuaji \Va asilimia 6.41nwaka 201 I. Ongezeko hili la ukuaj i lilitokana1a kuboreshwa kwa n1iundombinu ya usafirishaj i na ...
    • Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,1998 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 1998)
      Mpangilio ambao u,nekuwa ukifuatwa ka1ika kua11daa ripoti ya Hali yaUchumi wa Taifa hadi mwaka 1997 ulianzisl11va mwaka 1970. Katika kipiruli hicho chore, hapakufanyika mabadiliko yoyote ya msingi katika mpangilio wa ripoti hiyo
    • Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2001 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2001)
      Katika mwaka 200I, Pato halisi la Tai fa lilikua kwa asilimia 5.6ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 4.9 mwaka 2000. Ukuaji huu ulichangiwa zaidi na kukua kwa sekta za kilimo; bidhaa za viwanda; uuzaj i jumla, rejareja ...
    • Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2008 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2008)
      Katika mwaka 2008, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilimia 7 .4 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 7 .1 mwaka 2007. Ukuaji hu ulichangiwa zaidi na kuongezeka kwa viwango vya ukuaji katika shughuli za kiuchumi ...
    • Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2010 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2010)
      Katika mwaka 2010, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilimia7.0 ikilinganishwa na ukuaji wa asili1nia 6.0 mwaka 2009. Ukuaji huu ulichangiwa zaidi na kuongezeka kwa viwango vya ukuaji katika shughuli za kiuchumi ...
    • Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2010 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2010)
      Katika mwaka 2010, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilimia7.0 ikilinganishwa na ukuaji wa asili1nia 6.0 mwaka 2009. Ukuaji huu ulichangiwa zaidi na kuongezeka kwa viwango vya ukuaji katika shughuli za kiuchumi ...
    • Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2011 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2011)
      Katika 1nwaka 2011, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilin1ia6.4 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 7.0 mwaka 2010. Kiwango kidogo chaukuaji kilitokana na hali mbaya ya ukame iliyojitokeza katika sehemumbalin1bali ...
    • Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2013 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2013)
      Mwaka 2013, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilimia 7.0ikilinganishwa na ukuaj i wa asilimia 6.9 mwaka 20 12. Ukuaj i huu ulitokana nakuimarika kwa sekta zinazochangia Pato la Taifa kwa kiasi kikubwa hususansekta ...
    • Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2016 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2016)
      Mwaka 20 I 6, Pato Ia Taifa I i likua kwa wastan i wa as il imia 7.0, sawa nai l ivyokuwa 1nwaka 20 1 5 . Ukuaji huu wa uchu1ni u l itokana na: kuongezeka kwaufuaj i wa u111eme hususan utokanao na gesi asilia; kLtongezeka ...
    • Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2018 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2018)
      Mwaka 20 18, Serikali kupitia Ofisi ya Tai fa ya Takwimu ilifanya maboreshoya tak,vimu za Pato la Taifa kwa kutun1ia mwaka 20 15 kama mwaka wa kiziokutoka mwaka wa kizio wa 20.07. Kufuatia maboresho hayo, mabadiliko ...
    • Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2020 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2020)
      Mwaka 2020, Pato la Taifa lilikua kwa asilimia 4.8 ikilinganishwa na asilimia 7.0 mwaka 2019. Kupungua kwa kasi ya ukuaji kulitokana na: mvua zilizozidi wastani ambazo zilisababisha uharibifu wa miundombinu ya usaflrishaji ...
    • Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2020 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2020)
    • Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2015 

      Tanzania, United Republic (Wizara ya Fedha na Mipango, 2015)
    • Hali ya Uchumi wa Taifa,1987 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 1987)
      Kalika mwaka 1987, hali ya uchumi wa IBifa haiku wa 1ofau1i sana nailivyokuwa ka1ika mwaka 1986. Uzalishaji kwa jumla uliongezeka Zaidi kidogo na japokuwa bei kwa waslani zilicndelea kuwa za juu, upalikanaji wa bidhaa ...
    • Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2016 

      Tanzania, United Republic (Wizara ya Fedha na Mipango, 2016)
      Mwaka 2016, Pato la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 7.0, sawa na ilivyokuwa mwaka 2015. Ukuaji huu wa uchumi ulitokana na: kuongezeka kwa ufuaji wa umeme hususan utokanao na gesi asilia; kuongezeka kwa uzalishaji ...
    • Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2017 

      Tanzania, United Republic (Wizara ya Fedha na Mipango, 2017)
      Mwaka 2017, Pato la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 7.1ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 7.0 mwaka 2016. Ukuaji huu ulitokana na utekelezaji wa miradi ya miundombinu ikiwemo miundombinu ya maji, nishati, barabara, ...