Show simple item record

dc.contributor.authorTanzania, United Republic
dc.date.accessioned2022-10-21T12:01:02Z
dc.date.available2022-10-21T12:01:02Z
dc.date.issued2021
dc.identifier.urihttp://repository.mof.go.tz/handle/123456789/146
dc.description.abstractUtekelezaji madhubuti wa vipaumbele vya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 - 2025/26 unahitaji rasilimali fedha kutoka vyanzo mbalimbali vya sekta ya umma na sekta binafsi. Mkakati wa Ugharamiaji umeandaliwa ili kuhakikisha upatikanaji wa rasilimali fedha za kutosha na kwa wakati kutoka katika vyanzo hivyo. Lengo kuu la Mkakati huu ni kuhakikisha upatikanaji wa rasilimali fedha zitakazowezesha kufikiwa kwa utekelezaji wa hatua za kimkakati na shabaha za Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano pamoja na kutanzua changamoto za ugharamiaji wa Mpango. Matokeo tarajiwa ni: kuimarika kwa upatikanaji wa rasilimali fedha kutoka vyanzo vya ndani vya sekta ya umma na sekta binafsi; upatikanaji wa rasilimali fedha kutoka vyanzo vya kimataifa vya sekta ya umma na sekta binafsi; kuainishwa na kutumika kwa rasilimali fedha kutoka vyanzo bunifu; kuimarika kwa ushiriki na upatikanaji wa mitaji kutoka katika Asasi Zisizo za Serikali; na kuimarika kwa uratibu na uwianishaji wa mbinu na taratibu za ukusanyaji na upatikanaji wa rasilimali fedha.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherWizara ya Fedha na Mipangoen_US
dc.subjectMKAKATIen_US
dc.subjectMpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifaen_US
dc.subjectMiaka Mitano 2021/22 – 2025en_US
dc.titleMkakati wa Ugharamiaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/262021/22 – 2025/26en_US
dc.typeBooken_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record